Download wimbo wa international locall by Stamina ft Bill Nass
Download
Jumatatu, 31 Julai 2017
Jumapili, 30 Julai 2017
Jumamosi, 22 Julai 2017
KAZI ZA MIKONO NA SANAA ZETU
Bado tunayo fursa ya kufanya sanaa kuwa sehemu muhimu ya maisha , hii ni kutokana na ukweli kwamba sanaa ina tupatia utambulisho wenye kutupa thamani yetu kama Waafrika ,sanaa inatupa kuupenda na kuuenzi utashi wetu, lakini zaidi sana inatupa fursa ya kujipatia kipato (pesa) hasa pale watu wanapo hataji kushiriki kazi zetu za mikono.
Zipo kazi mbalimbali za mikono za kisanaa ambazo zinaweza kuwa fursa ya kibiashara, kazi hizo zinaweza kufanywa na watu wa jinsia zote yaani wanawake na wanaume, kazi hizo ni kama vile,
1.Kushona hereni za shanga
2.Kushona kacha za mkononi za mitindo mbalimbali
3.Cheni za shingoni za mitindo mbalimbali. nk
NAMNA YA KUTENGENEZA NA NAMNA YA KUPATA MATERIALS
wasiliana nami kwa namba
0766697211 au 0655210331
Paul Martin Mbeho
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
International local by Stamina ft Bill Nass
Download wimbo wa international locall by Stamina ft Bill Nass Download
-
Download wimbo wa Walele by Shetta Download
-
KAZI ZA MIKONO NA SANAA ZETU Bado tunayo fursa ya kufanya sanaa kuwa sehemu muhimu ya maisha , hii ni kutokan...


